Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akizungumza wakti alipozindua Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Julai 6, 2016. Kushoto kwake ni Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Dkt. Abdallah Possi na wapili kushoto kwake ni Naibu Waziri  Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde. 
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama  (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) baada ya kuzindua bodi hiyo kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Julai 6, 2016. Kushoto kwake ni Naibu  Waziri  Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde  na Wapili kuli kwake ni  Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Dkt. Abdallah Possi . Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodhi ya Wadhamini wa Bodi hiyo, Profesa, Samwel Wangwe. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...