Mkuu wa mkoa wa Iringa mwalimu Amina Masenza (wa tatu kushoto) akiongoza mazoezi ya viungo katika uwanja wa samora Leo wa pili kushoto ni katibu tawala wa mkoa wa Iringa wamoja Ayubu |
DC Iringa Richard Kasesela wa kwanza kulia akishiriki mazoezi ya riadha kutoka uwanja wa Samora mjini Iringa.
Habari zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...