Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, Francis Massawe (katikati) 'akinyakuanyakua' na askari polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) waliokuwa wanaulinda mwenge wa uhuru baada ya kumaliza mbio zake Mkoani humo kwa kutembelea miradi 53 ya thamani ya sh6.874 bilioni na kuingia Mkoani Kilimanjaro. Picha na Joseph Lyimo
Home
Unlabelled
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, Francis Massawe 'anyakuanyakua' na vijana wake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...