RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali
Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu.(Picha
na Ikulu)

RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali
Iddi na (kushoto kwa Rais) Mama Mwanamwema Shein, baada ya kuwasili
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea
Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya Siku Tatu.(Picha na
Ikulu)

RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama
Zanzibar, alipowasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar, akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku
tatu Pemba.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...