Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi
CCM NEC kilichofanyika katika ukumbi wa White House jijini Dodoma leo
tarehe 10 Julai 2020.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga makofi pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar,
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru
Ally Kakurwa, Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula mara baada
ya kuanza kikao cha NEC katika Makao Makuu ya CCM White House jijini
Dodoma.

Magufuli akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha
Mapinduzi CCM NEC mara baada ya kuanza kwa Kikao ambacho kilikuwa na
ajenda mbalimbali ikiwemo ya Uchaguzi wa Mgombea wa Urais kwa upande wa
Zanzibari ambapo Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi alichaguliwa
kuwa kuwa Mgombe Urais kwa Tiketi ya CCM kwa upande wa Zanzibar leo
tarehe 10 Julai 2020 katika Ukumbi wa White House jijini Dodoma
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia
wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kumpata mgombea Urais
wa Zanzibar, uliofanyika katika jengo la Makao Makuu ya CCM White House
Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)
MGOMBEA
Urais wa Zanzibar Mhe. Hussein Ali Hassan Mwinyi akijieleza na kuomba
kura kwa Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, uliofanyika
katika ukumbi wa Makao Mkuu ya CCM White House Jijini Dodoma , kumpata
mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM.(Picha na Ikulu)
MGOMBEA
Urais wa Zanzibar Mhe.Shamsi Vuai Nahodha akijieleza na kuomba kura
kwa Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, uliofanyika
katika ukumbi wa Makao Mkuu ya CCM Whit House Jijini Dodoma , kumpata

Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed , akijieleza na
kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,
uliofanyika katika ukumbi wa Makao Mkuu ya CCM Whit House Jijini Dodoma
, kumpata mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM.(Picha na Ikulu)
WAGOMBEA
Urais wa Zanzibar katika Chama cha Mapinduzi waliopita Tano Bora na
kupatikana Wagombea Watatu wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa
Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli
akiongoza kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya
CCM Jijini Dodoma White House, kumpa mgombea mmopja wa CCM kupeperusha
bendera ya Chama cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu.(Picha na
Ikulu)
WAJUMBE
wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakimsikiliza Mwenyekiti wa
Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Magifuli (hayupo pichani) akifungua Kikao hicho
kilichofanbyika katika ukumbi wa jengo la Makao Makuu ya CCM Jijini
Dodoma White House, kumchagua Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia
CCM.(Picha na Ikulu)
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akipiga makofi katika Mkutano huo wa NEC uliofanyika katika Makao Makuu
ya CCM White House jijini Dodoma. PICHA NA IKULU

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...