Picha: Akilishwa na mkewe Lucy,  keki ya siku ya kuzaliwa.

Leo tarehe 28 Desemba 2020, Mark Mwandosya anatimiza miaka 71 ya kuzaliwa.

 Kutoka kijijini Lufilyo, Busokelo, anachukua nafasi hii ya kipekee kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehema na baraka zake. Anaishukuru familia yake: mkewe, Lucy Akiiki Mwandosya, watoto wao Max, Sekela na Emmanuel; na wajukuu, Queen, Tusekile na Lusekelo. 

Anawashukuru pia jamaa, ndugu na marafiki kwa sala na dua zilizo mwenzesha kuiona siku ya leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...