Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) na Bw Riaz  Mawani kwa pamoja wakifungua pazia kuifungua Hoteli ya Lemersenne Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja yenye hadhi ya nyota tano ikiwa ni katika shamra shama 57 ya Mapinduzi katika hafla iliyofanyika leo.[Picha na Ikulu] 09/01/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) na Bw Riaz  Mawani kwa pamoja wakifungua pazia kuifungua Hoteli ya Lemersenne Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja yenye hadhi ya nyota tano ikiwa ni katika shamra shama 57 ya Mapinduzi katika hafla iliyofanyika leo.[Picha na Ikulu] 09/01/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Mkewe Mama Marium Mwinyi. wakisalimiana na baadhi ya wageni Watalii waliofikia katika  Hoteli ya Lemersenne iliyopo Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja yenye hadhi ya nyota tano wakati alipotembelea sehemu kadhaa  mara baada ya kuifungua Hoteli hiyo leo ikiwa ni katika shamra shama 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza  kwa makini Mmiliki wa Hoteli ya Lemersenne iliyopo Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja yenye hadhi ya nyota tano Bw.Riaz Mawani (kushoto) alipotembela sehemu kadhaa  mara baada ya kuifungua Hoteli hiyo leo ikiwa ni katika shamra shama 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati)  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi.[Picha na Ikulu] 09/01/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mmiliki wa Hoteli ya Lemersenne iliyopo Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja yenye hadhi ya nyota tano Bw.Riaz Mawani (katikati) alipotembela sehemu kadhaa  mara baada ya kuifungua Hoteli hiyo leo ikiwa ni katika shamra shama 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Kaimu Katibu wa Rais Dkt Abdalla Hasnuu.[Picha na Ikulu] 09/01/2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...