Meneja
Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo akifafanua kwa
wafanyakazi wa kampuni ya Bonite Bottlers Ltd, Moshi mkoani Kilimanjaro
kuhusu uzinduzi wa kampeni inayojulikana kama ‘Maajabu Halisi na
Coca-Cola’ au ‘Real Magic’. Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa kufanyika
katika mikoa mingine ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua
zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha
msimu wa sikukuu na mwaka mpya.
Mkuu wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Bonite Bottlers Ltd, Christopher
Loiruk akizungumza na wafanyakazi wa Bonite Bottlers Ltd, mkoani
Kilimanjaro kuhusu uzinduzi wa kampeni inayojulikana kama ‘Maajabu
Halisi na Coca-Cola’ au ‘Real Magic’. Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa
kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na shughuli tofauti za
kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kudumu mpaka
kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya.
Meneja
Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo (aliyekaa
chini kulia) akifurahia pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya Bonite
Bottlers Ltd, Moshi mkoani Kilimanjaro kuhusu uzinduzi wa kampeni
inayojulikana kama ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ au ‘Real Magic’.
Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo
utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja
maeneo mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka
mpya.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Bonite Bottlers Ltd mkoani
Kilimanjaro wakifurahia wakati wa uzinduzi wa kampeni inayojulikana kama
‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ au ‘Real Magic’. Uzinduzi kama huo pia
unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na
shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali
na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya.
Baadhi
ya matukio ya shamrashamra mtaani wakati wa uzinduzi wa kampeni
inayojulikana kama ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ au ‘Real Magic’ katika
kampuni ya Bonite Bottlers Ltd, Moshi mkoani Kilimanjaro. Uzinduzi kama
huo pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na
shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo
mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya.

Home
HABARI
UZINDUZI WA KAMPENI YA 'MAAJABU HALISI' NA COCA-COLA WAWAFIKIA WAFANYAKAZI WA BONITE BOTTLERS LTD, MOSHI MKOANI KILIMANJARO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...