Naibu
Waziri wa Ardhi Ridhiwani Kikwete ambae pia ni mbunge wa Jimbo la
Chalinze amewaasa wananchi wa Chalinze kuendelea kuliombea Taifa na
Serikali ili kufikia malengo yaliyokusudiwa .
Aliyasema
hayo wakati aliposherehekea Sikukuu ya Eid kwa kuswali na wanakijiji
wenzake wa Kijiji cha Msoga, na kwenda kuwaona wazee wa mji wa
Chalinze.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...