Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam Kamishna Mwandamizi wa Polisi Lazaro Mambosasa amewataka Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kutumia mafunzo waliyoyapata kuleta tija ndani ya Jeshi la Polisi.

Alisema hayo alipokutana na askari hao katika mwendelezo wa mafunzo ya siku saba ya kuwajengea uwezo wa afya ya akili na msaada wa kisaikolojia kwa watoto.


Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam Kamishna Mwandamizi wa Polisi Lazaro Mambosasa akiongea na washiriki wa mafunzo hayo yanayoendelea jijini Dar es Salaam. (Picha na Datus Mahendeka wa Jeshi la Polisi, Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...