Meneja wa Uhusiano wa Jamii PanAfrican Energy (PAET), Andrew Kashangaki akielezea jambo wakati wa ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayogharamiwa na kampuni ya PAET ili kusaidia jamii ya wananchi wanaoishi katika kisiwa cha Songo songo.
Meneja
wa Ofisi – Mazingira, Jamii na Utawala ORCA Energy Group, Rebecca Framp
akitembelea shule ya sekondari Songosongo iliyojengwa na kampuni ya
PanAfrican Energy (PAET) wakati wa ziara ya kukagua miradi mbalimbali
ya maendeleo inayogharamiwa na kampuni hiyo ili kusaidia jamii ya
wananchi wanaoishi katika kisiwa hicho. Kushoto ni Meneja wa Uhusiano wa
Jamii PanAfrican Energy (PAET), Andrew Kashangaki.
Meneja
wa Ofisi – Mazingira, Jamii na Utawala ORCA Energy Group, Rebecca Framp
akifungua bomba alipotembelea maabara ya shule ya sekondari
Songosongo. Kulia ni mwalimu mkuu msaidizi wa shule hiyo, Adam BaoMeneja wa Uhusiano wa Jamii PanAfrican Energy (PAET), Andrew Kashangaki akikabidhi zawadi mbalimbali kwa watoto wa shule ya awali Songosongo wakati wa ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo kisiwani humo.
Meneja wa Ofisi – Mazingira, Jamii na Utawala ORCA Energy Group, Rebecca Framp akikagua kituo cha Zahanati kilichopo kisiwa Songo songo kinachojengwa na kampuni ya PanAfrican Energy (PAET) wakati wa ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayogharamiwa na kampuni ya PAET ili kusaidia jamii ya wananchi wanaoishi katika kisiwa hicho.
Home
HABARI
Orca Energy Group watembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ya jamii inayosimamiwa na PAET kisiwani Songo songo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...