Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Hawa Msuya (wapili kushoto) kwa pamoja na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tanga, January Kilambata (wapili kulia) wakibadilishana hati ya makabidhino ya madarasa mawili kwa ajili ya wanafunzi wenye uhitaji maalumu wa Shule ya Msingi Chuda, jijini Tanga leo. Madarasa hayo yaliyo pamoja na ofisi ya Walimu yamejengwa kwa ufadhili wa Benki ya CRDB kwa thamani ya Shilingi Milioni 41. Kushoto ni Afisa Elimu ya Awali na Msingi, Kassim Kaoneka pamoja na Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Mbwana Hassan. 
 Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Hawa Msuya (wapili kushoto) kwa pamoja na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tanga, January Kilambata (wapili kulia) wakisaini hali ya makabidhino ya madarasa mawili kwa ajili ya wanafunzi wenye uhitaji maalumu wa Shule ya Msingi Chuda, jijini Tanga leo. Madarasa hayo yaliyo pamoja na ofisi ya Walimu yamejengwa kwa ufadhili wa Benki ya CRDB kwa thamani ya Shilingi Milioni 41. Kushoto ni Afisa Elimu ya Awali na Msingi, Kassim Kaoneka pamoja na Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Mbwana Hassan. 
Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Hawa Msuya (wapili kushoto)  akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhino ya madarasa mawili kwa ajili ya wanafunzi wenye uhitaji maalumu wa Shule ya Msingi Chuda, jijini Tanga leo. Madarasa hayo yaliyo pamoja na ofisi ya Walimu yamejengwa kwa ufadhili wa Benki ya CRDB kwa thamani ya Shilingi Milioni 41. 
Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Hawa Msuya (wapili kushoto) kwa pamoja na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tanga, January Kilambata (wapili kulia) wakisaini hati ya makabidhino ya madarasa mawili kwa ajili ya wanafunzi wenye uhitaji maalumu wa Shule ya Msingi Chuda, jijini Tanga leo. Madarasa hayo yaliyo pamoja na ofisi ya Walimu yamejengwa kwa ufadhili wa Benki ya CRDB kwa thamani ya Shilingi Milioni 41. 
Muonekano wa Madarasa hayo yaliyokabidhiwa leo kwa Shule ya Msingi Chuda, Tanga.
Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Hawa Msuya (wapili kushoto), Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tanga, January Kilambata pamoja na Afisa Elimu ya Awali na Msingi, Kassim Kaoneka (walioketi katikati) wakiungana na wanafunzi wenye uhitaji maalumu na walimu kuipongeza Benki ya CRDB kwa msaada wa madarasa mawili kwa ajili ya wanafunzi wenye uhitaji maalumu wa Shule ya Msingi Chuda, jijini Tanga leo. Madarasa hayo yaliyo pamoja na ofisi ya Walimu yamejengwa kwa ufadhili wa Benki ya CRDB kwa thamani ya Shilingi Milioni 41.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...