Mkuu wa kanda ya kati Vodacom Tanzania Plc, Joseph Sayi (Kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa mshindi wa mwezi wa kampeni ya Ni Balaa, Amina Gwila mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Tawi la Dodoma, mwishoni mwa wiki iliyopita katika hafla iliyofanyika duka la Vodacom jijini Dodoma.

Amina amepata nafasi ya kuchagua shule ambayo Vodacom watasaidia kukarabati maktaba ya shule hiyo ili kukamilisha adhma ya kusaidiana na Serikali katika kuboresha elimu nchini.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...