Kiwanda kikubwa na cha kwanza kutengeneza na kuunganisha Magari nchini Tanzania GF vehicles Assemblers (GFA) kilichopo Kibaha mkoani Pwani leo kimetimiza utengenezaji wa Gari ya miamoja (4000) toka kuanza uzalishaji rasmi wa kiwanda hicho 2020.


Akizungumza wakati wa sherehe za kuruhusu gari ya 4000 kukanyaga aridhini baada ya kuunganishwa tayari kwa kutembea ,Meneja mkuu wa kiwanda hicho ,Ezra Mereng alisema

Wanaishukuru serikali kupendekeza Tozo ya maendeleo ya viwanda kwenye vichwa vya Terla za magari makubwa vinavyoagizwa nchini kwa asilimia 10 ili kuvilinda viwanda vya ndani na kuchochea ununuzi wa magari yalionunganishwa nchini alimaliza manger

Kwa upande wa Mkurugenzi wa GFA,All Jawad Karmali wao wamejipanga katika kuhakikisha wanaongeza mtaji katika uwekezaji ili kukabiliana na soko la Afrika mashariki na kati kwa upande wa magari na Tanzania kuwa nchi moja wapo inayounganisha magari na kulisha ukanda woote wa Afika mashariki nah ii inatokana na mazingira Mazuri ya serikali kwa wawekezaji nchini

Pia alizitaka Tasisisi za serikali na kuagiza magari ambayo hayajaunganishwa na kazi ya kuunganisha ifanyike na viwanda vya ndani ili kukuza pato la taifa na kuongeza ajira kwa watanzania, pia kama nchi itajipatia fedha za kikgeni kwa kuuza nchi jirani Magari yanayotoka Tanzania.
Muonekano wa kiwanda


Mkurugenzi wa GF vehicles Assemblers (GFA), Ally Jawad Karmali akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda hicho wakati wa sherehe za uundwaji wa gari ya 4000 iiliyotengenezwa katika kiwanda hicho na mafundi wa ndani kutoka vyuo mbalimbali nchini kwa kushirikiana na wataalamu wa kigeni iliyofanyika kibaha mkoani jana .

Meneja mkuu wa kiwanda hicho ,Ezra Mereng akizungumza na wafanyakazi

Wafanyakazi wakiwa katika hafla hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...