MICHUZI BLOG leo inatoa pongezi kubwa kwa Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kwanza Mtanzania wa Benki ya NMB, kwa kutimiza miaka mitano kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB.
Umekuwa muhimili Mkubwa kwenye sekta ya Benki nchini kupitia uwekezaji kwa watu, mageuzi ya kidijitali, utawala bora, miradi ya kijamii na kuongeza thamani ya benki sokoni.Kila la Heri unapoanza safari nyingine ya mafanikio ndani ya Benki ya NMB.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...