MUDA wa kuwa rubani wa bahati yako umefika. Meridianbet imezindua promosheni kabambe inayotikisa anga la michezo ya kasino mtandaoni kupitia Super Heli, mchezo maarufu kutoka Expanse Studios. Kampeni hii ya kipekee kwa kucheza Super Heli unapata nafasi ya kujishindia Samsung A26 mpya kabisa, bila malipo ya ziada, bila masharti magumu. Ni kucheza tu, Kufurahia, na kushinda.
Mwezi huu wa Oktoba, Meridianbet inatoa jumla ya simu 8 za Samsung A26 kwa washindi wake. Kila wiki, wachezaji wawili wanaoongoza kwa kucheza mara nyingi mchezo wa Super Heli watatangazwa washindi. Washindi hawa watapokea simu zao mpya kila Jumatatu, ikiwa ni zawadi ya kuanza wiki kwa furaha.
Mchezo wa Super Heli ni rahisi lakini una msisimko wa hali ya juu. Washa injini ya helikopta yako kwa kuweka dau na ipaishe juu kadri uwezavyo. Kadri unavyopaa juu, ndivyo nafasi zako za ushindi zinavyoongezeka. Lakini kumbuka, ukichelewa kutoa dau kabla helikopta haijalipuka, unakosa ushindi. Hivyo, cheza kwa ujasiri, weka dau lako kwa wakati, changanya ujuzi na hisia zako kisha uone faida ikitua papo hapo kwenye akaunti yako.
Mbali na Super Heli, pia meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ili kuwa sehemu ya watakaopokea zawadi yao siku ya jumatatu, tembelea tovuti rasmi ya meridianbet.co.tz au pakua Meridianbet App, ingia kwenye akaunti yako au jisajili bila gharama kama bado hujajiunga. Weka dau lako, cheza Super Heli mara nyingi kadri uwezavyo kisha kaa mkao wa ushindi, jumatatu inaweza kuwa siku yako ya bahati.
Usiachwe nyuma ndugu mbashiri, jiunge na maelfu ya wachezaji wanaopaa na Super Heli, na shuhudia jinsi bahati inavyoweza kutua moja kwa moja mikononi mwako na ukajikuta ukiondoka na simu kali bila kuingia gharama za ziada.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...