Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse Studios wameamua kukuweka moja kwa moja kwenye maisha unayoyaona kila siku kwenye filamu. Naam, ni kukuingiza moja kwa moja kwenye vita kubwa dhidi ya mazombi kupitia mchezo wa Zombie Apocalypse. Hii ni sloti ya kisasa yenye hadithi ya kusisimua, michoro ya kiwango cha juu na zawadi zinazovutia. 

Sasa, wachezaji wanapocheza mizunguko 100 leo, kesho yake wanazawadiwa mizunguko 50 ya bure. Hii ni bonasi ya kipekee inayokupa muda zaidi wa kusaka ushindi bila kuongeza gharama. Kila mzunguko una thamani, kila mzunguko ni nafasi ya kubadilisha matokeo na kuandika sura mpya ya mafanikio yako.

Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi, Tembelea meridianbet au piga *149*10#.

Zombie Apocalypse inakupeleka kwenye ulimwengu uliojaa zawadi kubwa. Ubunifu wa Expanse Studios umeunganishwa na uzoefu wa Meridianbet ili kutoa burudani inayovutia soko na kuinua viwango vya sloti za kisasa. Ni mchanganyiko wa teknolojia, ubunifu na fursa unaokupa kila sababu ya kujaribu.

Hii ni zaidi ya ofa, ni mwaliko wa kuwa sehemu ya mafuriko ya ushindi. Usiruhusu nafasi hii ikupite. Cheza mizunguko 100 leo, pokea 50 ya bure kesho, na ujionee kwa nini Zombie Apocalypse imekuwa gumzo la wachezaji wengi. Ushindi wako unaanza kwa uamuzi mmoja tu wa kuanza sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...