Oopps!

madereva wa dar saa ingine wana mambo. ndo uendeshaji gani huu wa gari kipuapua?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kaka Michuzi pamoja na wadau wengine naomba kuuliza swali,hiyo ni ajari au?manake mimi hainiingii kichwani huyo mtu alikua anaendesha kwa style gani??mi sielewi jamani naomba mnisaidie!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...