Nani kasema bongo tumechacha? na simaanishi kuwa na gari ni utajiri, ila utitiri wa ma-long stretch (kama hili White Lincoln la Iddi Jangua) yapo kibao na yanatia kiwewe hata donors wanaoituta wa nne toka chini kwa umaskini. haya, mjadala naufungua, leta maneno...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Umezipanga vizuri hizi picha; wengine wanabembea kwenye baiskeli na wengine wanakula misele kwenye limousine la Idd Janguo-The new and upcoming young Tanzanian millionare!- Wabongo wanamkoma huyu mchizani na ndugu zake!

    ReplyDelete
  2. Hizi picha umeziweka zinasema mengi, hii ya gari unatuambia bongo mambo poa...juu yake tunaona wengine na baiskeli. Kumbuka wimbo wa remii..masikini na mkokoteni...

    ReplyDelete
  3. Hahahaaaa! Picha yaongea maneno alfu ama sio?

    ReplyDelete
  4. Hahahaaaa! Picha yaongea maneno alfu ama sio?

    ReplyDelete
  5. Brother Michuzi, naona unavyoiangalia bongo kwa jina la tatu. Ukiwa na akili timamu bongo ina vituko kwelikweli lakini wenzangu na mie watasemaBongo New York.

    ReplyDelete
  6. Muulizeni Iddi hili ndio lile la scam ya Insurance Houston baada ya kufukukuzwa majuu?

    ReplyDelete
  7. Limo zuri. Idd alilinunua kwa rafiki yake mpalestina huko houston bada ya kuwa na benz 500 iliyokula mzinga.
    Lakini hongera kwake.Ni mmoja ya ku"hustle".
    Kila la kheri Mr. Michuzi

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 07, 2009

    Tanzania ni ni nchi masikini lakini wananchi wake sio masikini michuzi! wewe kama uamini tembelea maeneo ya kujidai ndio utaelewa mtu haoni shida kutoa milioni kuenjoy wakati mbagala serikail inatakiwa kutoa misaada na haitoshi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...