Home
Unlabelled
muhogo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
tupo!
ReplyDeletemhh walahi mate yamenitoka!!Sasa hapo ikaangwe na chachandu/kachumbari ya Uswazi mitaa ya Migomigo au Ilala..
ReplyDeleteUsitanie sana Michuzi!!vibaya hivyo!
Kazi safi Michuzi,kila la kheri
ReplyDeleteHi!
ReplyDeleteahsanteni kwa salaaam. niko nje ya mji, nikirudi nitaongeza vitu.
Hi!
ReplyDeleteahsanteni kwa salaaam. niko nje ya mji, nikirudi nitaongeza vitu.
Ongeza vitu baba!
ReplyDeleteTutawezaje kusaidia uuzaji wa mhogo huu mzuri hivi nje ya nchi jamani?
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteKaka mihogo hii nikija unipeleke,denda kweli lantoka mwenzio.
Mike,LA.
Nkya ndugu yangu nani atatafuta soko angalia hata yale maboga yaliyopo katika picha ya b log hii, hakuna mtu anayewajali hata wabunge hawajadili sana juu ya wakulima na mbaya zaidi wizara husika wanapewaa ambao hata kilimo hawakijui.Nane Nane si sherehe za kuwaenzi wakulima kwa kutangaza bi mpya ya mazao yao bali wafanyabiashara wameshaiteka siku hiyo wakulima wanabaki hoi kwa kutumiwa jina lao.Hawa tangu UHURU hawajakombolewa na hata Kilimo ni uti wa Mgongo wa Taifa illikuwa ni hadithi tu,maskini sijui watakombolewa na nani!
ReplyDeleteHuku tulipo, USA, houston,Texas mihogo ipo. Lakini ladha tu sikama ya nyumbani. Huwa tunajaribu kukumbukia shule ya msingi kwa kukanga mihogo na kushushia kinywaji baridii. Vile vile masap, huwa anatengeneza ya kuchemsha na nazi..
ReplyDeleteKeep it up Mr. Michuzi