Home
Unlabelled
baba na wana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tetesi za kwamba Nguza hana hatia ya kubaka vitoto ila alifanya kweli kwa mke wa Kikwete ambaye ndiye first lady wetu zimejaa mitaani.Kama ni kweli basi ni aibu kwa Kikwete na mkewe siyo tu kwa sababu ya ufisadi wa mama, bali pia uonevu wa Kikwete kumuezeka kesi iso yake Nguza.
ReplyDeleteInabidi u8kweli uwekwe wazi ili watu wajue, investigative journalist wako wapi?
Mh! makubwa tena haya.....lakini nasikia Jk naye mbaya kwa dogodogo.
ReplyDeleteHayo yatakuja kama rufaa itakubaliwa
ReplyDeleteEe!! Mungu iangalie familia hii kwa jicho la huruma kwani kwa uwezo wako lolote laweza kuwa, hivi hata huyu mtoto mdogo wa Nguza naye amehukumiwa maisha jela,kama kuna ukweli wowte kwa kile kinachosemwa historia italihukumu Taifa letu na hatima ya uhasama baina ya vizazi na vizazi ingalipo kwani Nguza ana ndugu zake na wajomba zake huko kwao, kama ilikuwa ni kwa ajili ya kuuangamiza ukoo wa Nguza, Mungu ndiyte ajuaye, hakuna yoyote atakaye ishi milele chini ya jua hili tutake tusitake mshahara wa dhambi ni mauti, alilotendewa Nguza mwingine aweza kutendewa na kama yeye ndiye mtendaji hayo ndiyo malipo ya uovu wake, lakini ikiwa kweli kinachosemwa kwa maslahi ya nani na kwa nini?kwanini sheria ilinde baadhi ya watu kwa maslahi ya watu fulani, haya sijui mnasemaje kwa hili
ReplyDeleteWakatabahu
SASA KUMEKUCHA WAUNGWANA! MICHUZI KAZI NZURI SANA, MJADALA DUME HUU,
ReplyDeleteKWA HAKIKA NIPO UPANDE WA UTETEAJI WA HAKI,NISEME KWA KUWA JAMBO LILIKWENDA MAHAKAMANI, NGUZA NA FAMILIA YAKE WAKAHUKUMIWA BASI TUACHIE MAHAKAMA.
MH!
LAKINI HIZO MAHAKAMA ZENYEWE SASA, UFISADI,DHULUMA,UKOO,KUJULIKANA VYEO,UZALENDO BUTU,NA KILA AINA YA UCHAFU IMEJIHIFADHI HUKO,KAMA MTANZANIA WA CHAMWINO DODOMA HAIPATI HIYO HAKI,AMA YULE WA KIEMBE SAMAKI UNGUJA NI NDOTO KUPATA HAKI KATIKA HIZI MAHAKAMA JE KWA HAO BANDUKU BA KONGO,BANA BA AFRIKA INAKUWAJE?
HASWA UKICHUKULIA KUWA VYANZO VYA TUKIO VINAMUHUSISHA KINARA WA SASA WA NJI HII, KWA WAKATI HUU,AMBAYE ALIKUWA KAMA COLLIN POWEL WA MAREKANI KWA WAKATI HUO PIA.
HIVI NI HAKI GANI YA KIBINADAMU ANAYOTENDEWA MTOTO WA MIAKA 17,ANAPOFUNGWA NA WATU WAZIMA KWA TETESI ZA KULAWITI, NA KAMA TETESI HUTEGEMEWA NA TAWALA ZETU, MBONA TETESI ZA RUSHWA KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU ZILIDHARAULIWA?
HIKI NI KICHAA KABISA!TUNAPOANZA KUSEMA WALE WAKONGO, HAWA WATANZANIA TUNATENGENEZA NINI? KAMA SI KUUWA JITIHADA ZA KINA KWAME NKURUMAH,NYERERE NA SEKEU TUORE KUIFANYA AFRIKA MOJA,MIMI NASEMA WAZI KUWA JK NAE ASOME DHAMBI ZA KISASI CHA ZINAA ZILIZOWAVAMIA NA KUWACHAKAZA WATOTO WA MFALME DAUDI, AMNONI NA ABSALOMU!