
bodi ya dayosisi ya musoma iliyoundwa kufanya mchakato wa kumfanya mwalimu nyerere awe mtakatifu ikianza kazi rasmi katika kanisa la butiama jumamosi iliyopita. soma www.mbongo.com kwa habari zaidi
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaazi kweli kweli! Mungu anawachora tu wanavyomwingilia kazi.
ReplyDeleteSikubaliani nawe bwana anonymous!! mambo ya IMANI yaache kabisa usijezua mtafaruku humu ndani.
ReplyDeletehuyo anaye sema MUNGU anawachora si mkristu!! na haijui biblia. atafute mahali palipo andikwa itaneni watakatifu. be careful my friend!
ReplyDelete