madaraka nyerere, mmoja wa watoto wa mwalimu akitoka kanisani butiama na sister jean pruitt mwanzilishi wa nyumba ya sanaa baada ya hfala ya uzinduzi rasmi wa mchakato wa kumtangaza mwalimu kuwa mwenyeheri jana butiama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi mwalimu alibarikiwa kupata watoto wangapi?....wote wote kabisa pamoja na wa Idodomya. Swali kwa yeyote....

    ReplyDelete
  2. fungua michuzi corner @ www. mbongo.com kwa jibu lako, bw. anonymous

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...