Home
Unlabelled
butiama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Madaraka ni mtoto wa mwisho kati watoto saba wanaojulikana.
ReplyDeletemakongoro nyerere, mtoto wa nje ya ndoa nini?
ReplyDeleteKama ulikuwepo mshkaji na mimi ndivyo ninavyojua kuhusu makongoro.
ReplyDeleteyaani watakatifu wana ngoma pembeni? ja sa itakuwaje ja! lakini inawezekana maana kuna wakati alihutubia akasema aliishakuta kina Sir George Kahama waliishaendelea kuhalalisha mke wa pili, pengine yeye imani ilikuwa inamtia kizungumkuti! ja sa si angebadili dini tu ja!
ReplyDeletemichuzi huwiani kabisa hapo angalia usimamaji wako
ReplyDeleteMtoto wa tatu ni Emil Magige
ReplyDeleteWatoto wa Mwalimu kwa kuzaliwa kwao ni kama ifuatavyo: 1: Andrew Burito 2: Anna Watiku 3: Emil Magige 4: John Guido Nyerere 5: Charles Makongoro 6: Godfrey Madaraka 7: Rosemary 8: Pauleta