hapo nipo butiama na wana wa nyerere. kulia ni andrew ambaye ndiye mtoto wa kwanza na kushoto ni madaraka, mtoto wa tatu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Madaraka ni mtoto wa mwisho kati watoto saba wanaojulikana.

    ReplyDelete
  2. makongoro nyerere, mtoto wa nje ya ndoa nini?

    ReplyDelete
  3. Kama ulikuwepo mshkaji na mimi ndivyo ninavyojua kuhusu makongoro.

    ReplyDelete
  4. yaani watakatifu wana ngoma pembeni? ja sa itakuwaje ja! lakini inawezekana maana kuna wakati alihutubia akasema aliishakuta kina Sir George Kahama waliishaendelea kuhalalisha mke wa pili, pengine yeye imani ilikuwa inamtia kizungumkuti! ja sa si angebadili dini tu ja!

    ReplyDelete
  5. michuzi huwiani kabisa hapo angalia usimamaji wako

    ReplyDelete
  6. Mtoto wa tatu ni Emil Magige

    Watoto wa Mwalimu kwa kuzaliwa kwao ni kama ifuatavyo: 1: Andrew Burito 2: Anna Watiku 3: Emil Magige 4: John Guido Nyerere 5: Charles Makongoro 6: Godfrey Madaraka 7: Rosemary 8: Pauleta

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...