hii kitu ipo posta ya zamani na inaonesha majina ya 'mashujaa' wa vita kuu ya pili tatizo hakuna jina la mbantu hata moja, ni wadosi na watasha tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzii Eee!! Si unajua sisi weusi hatufii (Katika kasheshe ya weupe na weusi)

    ReplyDelete
  2. Sasa wamelibandikia nini??...nakupa siku saba ukalibandue ...kha! utumwa gani huu?

    ReplyDelete
  3. Michuzi hili ni tatizo kubwa... na baada ya hapo serekali zetu ilitakiwa zichukue hatua za makusudi kabisa kujenga minara ya kina kinjeketile na mkwawa, pia kuandika orodha ya mashuja wake woote waliokufa kupigania uhuru...hapa SA naona wanafanya hivyo! nilikwenda pale Victoria falls Zambia na kukuta list ya majina yoote ya kigeni...mimi na rafiki yangu Nathan Phiri wote tulisikitika sana kwa hilo!! picha nzuri michuzi, wewe ni mwandishi...mwendo safi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...