mkongwe wa taarabu na ngoma za unyago visiwani zanzibar kidude baraka a.k.a bi. kidude (aangaliae kamera) akionesha umahiri wake jukwaani. yeye ni mmoja wa vivutio vitavyotumbuiza kwenye tamasha la sauti za busara mapema mwezi ujao unguja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi,

    Unakumbuka ile picha uliyopiga Zenji ulipoenda huko kwenye safari ya TAMWA?

    Ilileta zogo kweli!

    Asante sana kwa picha!

    ReplyDelete
  2. che-mponda nakuzimia! mrembo kweli!
    na mie nitaweka picha.lazima

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...