huyu ndiye dansa mahiri wa twanga pepeta lilian internet ambaye sasa nasikia yuko ughaibuni (nchi kapuni) akisaka majani ya kijani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Naamini makene atakua amekunwa sana kwani ndo yalikua mambo yake kule mitaa ya ASET CLUB na Land mark hotel

    ReplyDelete
  2. @ Mark...
    Sijalala!....hapo najua umekunwa au nimekosea?

    ReplyDelete
  3. Wewe Materu uliwahi kunikuta huko lini? Mimi mziki wangu si huo kaka nitautaja baadaye. Kama huamini muulize Bob Rudala pale Sweet E.

    ReplyDelete
  4. huyu dada jina lake la pili nani?

    ReplyDelete
  5. Jina lake la pili ni internet

    ReplyDelete
  6. amependeza kweli maskini, mtoto wa watu

    ReplyDelete
  7. ni kweli da mija..naona sasa tunafahamiana vyema!!

    ReplyDelete
  8. jina lake la pili siyi internet, jina lake la pili ni lilian tungaraza. sijui ni ndugu yake mti mkubwa au?

    ReplyDelete
  9. onyo: da mija na bw. alama mnatumiaje blog yangu kwa mambo yenu binafsi? faini kila mmoja aposti picha yake haraka kwangu. ebo! mie mwenyewe nina watu kama chemi na jeff walio karibu lakini sianiki undani wetu hadharani. halafu we mija unatafuta hata mchumba bloguni mwangu...vibaya hivyo!

    ReplyDelete
  10. ningekuwa mluguru hapa ningeanza jaa sa michuzi tena ndo jaa! kwani si si binadamu tu ja!

    mija nimegundua uko serious, suala lako nitalifanyia kazi..

    michuzi teh teh teh!!kumbe ushenga mgumu!!teh teh teh!! Jeff saidia hapo kucheka kwa kiswahili inaandikwaje?

    ReplyDelete
  11. Kwani Mija namba yako ya simu ngapi maana naona nivunje ukimya nami pia.

    ReplyDelete
  12. mmm ila mama internet anakikwapa kwa mbaliiiii!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...