Home
Unlabelled
lilian internet
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
da mijaaaa upoooooooo!!!!!
ReplyDeleteNaamini makene atakua amekunwa sana kwani ndo yalikua mambo yake kule mitaa ya ASET CLUB na Land mark hotel
ReplyDelete@ Mark...
ReplyDeleteSijalala!....hapo najua umekunwa au nimekosea?
Wewe Materu uliwahi kunikuta huko lini? Mimi mziki wangu si huo kaka nitautaja baadaye. Kama huamini muulize Bob Rudala pale Sweet E.
ReplyDeletehuyu dada jina lake la pili nani?
ReplyDeleteJina lake la pili ni internet
ReplyDeleteamependeza kweli maskini, mtoto wa watu
ReplyDeleteni kweli da mija..naona sasa tunafahamiana vyema!!
ReplyDeleteLakini umeoa Mark....
ReplyDeletejina lake la pili siyi internet, jina lake la pili ni lilian tungaraza. sijui ni ndugu yake mti mkubwa au?
ReplyDeleteonyo: da mija na bw. alama mnatumiaje blog yangu kwa mambo yenu binafsi? faini kila mmoja aposti picha yake haraka kwangu. ebo! mie mwenyewe nina watu kama chemi na jeff walio karibu lakini sianiki undani wetu hadharani. halafu we mija unatafuta hata mchumba bloguni mwangu...vibaya hivyo!
ReplyDeleteningekuwa mluguru hapa ningeanza jaa sa michuzi tena ndo jaa! kwani si si binadamu tu ja!
ReplyDeletemija nimegundua uko serious, suala lako nitalifanyia kazi..
michuzi teh teh teh!!kumbe ushenga mgumu!!teh teh teh!! Jeff saidia hapo kucheka kwa kiswahili inaandikwaje?
Duh!
ReplyDeleteKwani Mija namba yako ya simu ngapi maana naona nivunje ukimya nami pia.
ReplyDeletemmm ila mama internet anakikwapa kwa mbaliiiii!
ReplyDelete