Home
Unlabelled
mama havijawa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Halafu Michuzi unajua kweli kuzikamata hizi picha za human interest. Yaani hii ni moja ya zile ambazo unatakiwa uzi-file as 'exceptional'. Mtoto alivyotulia ananyonya kidole.....
ReplyDeletekweli kabisa! huyu jamaa ni professional...
ReplyDeletelakini pia ni fundisho ambalo sisi watu weusi labda pia tulipate...kuna rafiki yangu mzingu yuko na mmewe wao hawaamini kabisa kama kuna haja ya kuzaa wakati kuna watoto wengi tu walioshazaliwa na hawana wazazi...ni kipimo kikubwa sana cha utu! je kuna haja gani kujaza namba ya watoto wa kuzaa wakati ungeweza kuwa na wako wachache na ukaadopt wengine? kama huku nilipo, wazungu wameongoza kuadopt watoto na zaidi yatima weusi haswa wa ukimwi!
Nyie mlioko nyumbani msiwaamini sana hawa watu wa ughaibuni. Kuna baadhi ya hawa watu wa ughaibuni wana mambo yao mengine ambayo ni kinyume kabisa na mapenzi ya utu na uzazi. Kwa mfano wengine ni wanataaluma za maendeleo ya akili -developmental psychologists- kwa hiyo mtoto kama huyu anakuwa ni chanzo au nyenzo yake ya utafiti. Au anaweza kuwa ni mwana taaluma za kimakabila -athropologist- kwa hiyo huyu mtoto anaweza kuwa ni chanzo au nyenzo ya utafiti wa kitaaluma. Au wengine ni wenye nyege na vitoto vidogo -paedophile- kwa hiyo hako katoto kanaweza kuwa kituliza nyege chake. Hawa wa kundi la nyege na vitoto vidogo wameenea sana nchi zilizoendelea na ni tatizo kubwa sana katika jamii za nchi zilizoendelea.
ReplyDeleteBwana Michuzi unaweza kutueleza lolote kwa undani zaidi mahusiano ya huyu mtoto na huyu mama wa Kijapani zaidi ya maelezo ya kwamba ni mama yake wa kufikia?
huyu kaiba mtoto, ni mwizi kabisa.
ReplyDeleteHvi huyu alikosa kazi ya kuuza magari ya mitumba kule Yokohama Japan hata aende Bongo kubeba watoto?
ReplyDeleteWazee acheni cynicism ya hali ya juu. Unaweza ukafikiri watu wote wenye kufanya adoption wana nia mbaya kumbe wengi wao ni upendo tu.
ReplyDeleteSikatai kuna wazazi wa kufikia wachache wameharibu sifa ya wengi walio na upendo wa kweli. Isitoshe duniani kote inajulikana kuna sheria zinatowalinda watoto.
Kuwafikiria vibaya walio wengi wenye nia nzuri na watoto ni kuwaadhibu kwa makosa ya watu wachache. Halikadhalika, ni kusahau kuwa kuna waliopata fursa ya kulelewa ambapo wangeishia wakiwa.
Jamani, hii site ina lengo gani, yaani hapa mimi sijaelewa
ReplyDeleteNo, sikubaliani kwamba watu wanakuwa sceptics wa hali ya juu. This is scepticism that is healthy. Lazima maswali kama haya Watanzani atujiulize na tuhakikishe tunapata majubu yanayoridhisha. Hebu fikiria wewe ungeamua ku-adopt mtoto Japan, unaweza kuimagine the kind of scrutiny you will be subjected to? Halafu jingine, ni ma-pedophiles wa Ughaibuni....wako kibao, ambao wanakuja katika nchi maskini kama zetu wakitafuta watoto for sexual exploitation!!!! Haya mambo LAZIMA tuyaseme!
ReplyDelete