Hapo ni katikati ya makao makuu mapya makongwe ya serikali ya bongo, dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. salaaalee ungevuta nyuma kidogo mitaa ya rose garden ningeyaona maskani yangu! si haba lakini.

    uhamiaji dodoma umefika wapi? na mh. walaaaaa hakugusuia kwenye hotba yake! au sikusikia, maana nilichelewa kusikiliza halafu baadae wakakata kabla kumaliza

    ReplyDelete
  2. Kaka Mark dar kutamu ndugu yangu!!!
    Si rahisi watu kukimbia oysterbay na masaki makazi ambayo wao wanayaita ya wateule wachache!!DOM wakafanye nini wakati hakuna beach nzuri na night clubs nzuri za kustarehe watoto wao!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...