Lori likiwa limebeba ngozi kupeleka bandarini tayari kusafirishwa nje ya nchi. Ukosefu wa viwanda vya kutosha kusindikia ngozi kunalazimisha bongo kupeleka nje mali ghafi hiyo na kununua inaporudi kama viatu au mikoba. wenzangu huko ughaibuni mnakubali hali hii iendelee wakati bongo ni ya pili Afrika kwa kuwa na ngo'mbe wengi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kama sikosei Rostham Aziz na Juma Ngasongwa waliwahi kuwa mameneja wa Kiwanda cha Ngozi! Kama nimepata au nimekosa naomba mniambie.

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...