viongozi mbalimbali wa zanzibar wakiomba dua mbele ya kaburi la hayati mzee abeid amani karume hapo kisiwandui, zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. wote wanafiki tu hawa, wanataka vyeo!

    ReplyDelete
  2. ndio Tanzania ni nchi inayoongozwa na marehemu!!! Karume na Nyerere ahu ahu ahu !! hapo wanamuuliza mzee afanye mambo watu wasiendelee kuulizia hati ya muungano ahu ahu ahu !!

    ReplyDelete
  3. Niliwahi kwenda kwenye hiyo Kaburi 1989, ilikuwa michanga mitupu, walisema kuwa hawatalijenga. Naona wameamua kulijenga! Sasa kweli imekuwa ukumbusho mzuri kwa Karume.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...