Home
Unlabelled
wanadoa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ndoa ilikuwa kanisani au kwa mkuu wa wilaya?
ReplyDeleteMichuzi leo umenipa kitu roho inapenda. Nilikuwa natamani sana kupata recap ya harusi ya maselebrit hawa lakini wapi. Lakini je wamekuruhusu uitumie namna hii.
ReplyDeleteNammiss Jay Dee kinoma
Innocent,
ReplyDeleteNa mimi najiuliza kama Lady JD aliingia kanisani na hicho ki-bikini top!
hii itakuwa ndoa ya mkeka,
ReplyDeletesafi namna hiyo kupunguza namba ya masela na haya mambo ya kuoga na makoti!
ReplyDeleteHuyo ndo jamaa kama Binti?
ReplyDeleteNdo huyo.
ReplyDeleteMichuzi umekosea au ni makusudi "Wanadoa" ukiwa unataka kumaanisha "Wanandoa"
ReplyDeleteSijui,, labda kweli wana doa!!
Jamaa suti gani hiyo kavaa suti ya viraka viraka, poor fashion taste
ReplyDeleteYani kwa kweli ninakusikitikia sana we Gadna,umeacha mkeo wa ndoa halali kwa ajili ya huyo changu wa Ruge?pole sana,kwanza ana mtoto wa kike mkubwa kamficha kwao,fatilia.Na usisahau kwenda ANGAZA Maana,,,duh yule demu wako wa kiarabu...kaikanayaga siku nyingi.
ReplyDelete