hivyo ndo namna waheshimiwa majaji wa mahakama kuu na mahakama ya rufani tanzania huvaa wawapo mzigoni. mbele kati ni jaji mkuu mh. barnabas samatta.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawa ni maaskofu wa kanisa gani vile?

    ReplyDelete
  2. Hivi ni lazima tuendelee kuwa watumwa mpaka wa mavazi ya watu wa muhimu kama majaji? Inakuwaje majaji wetu waige uvaaji wa majaji Uingereza? Hatuna wasanii(Manju) wa kubuni mavazi ya hawa pilato wetu? au ndo yaleyale kizuri ni kile alichokibuni mzungu tu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...