jiji la dar linapanuka. hii ni fioleni ya magari tabata relini ambako miaka sita tu iliyopita kulikuwa pori. hivi sasa tabata, segerea, kinyerezi hadi karibu na kisarawe ni majumba tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hpo jirani kabisa na jengo la Mwananchi nyumba inayozalisha sasa magazeti yanayosifika Tanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...