hapa ni mtaa wa india, ostabei, dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sasa ng'ombe wamefuata nini kwenye makazi ya vigogo Bongo jamani. Si waamue moja kuishi mjini au waende maporini kufuga. Pia waweza wao kuishi mjini na kuwa na ranchi zao mbali na Dar. jamani wanatia aibu.

    ReplyDelete
  2. Kwani hujaona wapo mtaa wa India? unategemea nini zaidi? wazo langu naona umefika wakati tuangalie jinsi tunavyochagua majina ya mitaa.
    Dennis

    ReplyDelete
  3. Huu Mtaa wa India Uko sehemu Ngani Michuzi ya O'bey!!!

    ReplyDelete
  4. Sikumbuki mtaa wa India Oysterbay Dar

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...