Home
Unlabelled
mitindo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hana raha masikini ya mungu huenda jana yake kakesha akiliwaza mapromota
ReplyDeleteWewe Kijana tumia lugha nzuri hii website inatumia na watu wazima na wenye Heshima zao. Jifunze nidhamu eneo hili sio la wauni peke yao.
ReplyDeleteMnyonge mnyongeni haki yake mpeni natoa live itakuwa vigumu kama zipo nafasi za maoni halafu tukafungana midomo ndo maana Wapemba tunataka Jamhuri yetu bora nikachangie mabadiliko ya katiba zenji
ReplyDeletehapo sioni lugha mbaya ilotumika ni ipi.
ReplyDeletehii ilikuwa ughaibuni nini? sioni ngozi ya kwetu isipokuwa yeye tu.
ReplyDeleteHuyo dada kavuka mipaka na hiyo see through
ReplyDeletekwani kimanzichana hazijafika huko? namtetea mtoa hoja wa kwanza kuwa amesema vitu vinavyotokea. kuna haja basi ya kurasmisha eneo hili la urembo, sanaa na michezo ili na sie tuwe na amani tunapowaruhusu binti zetu kuingia kwenye hiyo fani!!!
ReplyDeleteHaipendezi hata kidogo.....kwani mitindo ya kiafrika hakuna..au fashion creativity katika mavazi ni kuweka mabinti zetu uchi??? huyo "msanii" wa mitindo hiyo akumbuke yuko Kwetu sio kwao...akajaribu kuwaweka uchi dadize aone!!
ReplyDelete