vijana wengi bongo wanavaa migolole ambayo aghalabu huvaliwa na wamasai. migolole hiyo hutengenezwa na tanzania blankets textiles kiwanda kilichobinafsishwa na kununuliwa na mzalendo wa kitanzania na kukiendeleza kwa kiwango cha juu kabisa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hawa lazima ni Kipanya na kaka bonda.

    ReplyDelete
  2. Hii takuwa masai feki kabisa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...