huyu ndiye mwandazi wa miss tanzania hashim lundenga. yanga huyo... acha!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. na inaonekana ni kilaji mtu mtu kilaji!....nay way mambo ya kilaji ni individuals za mtu..ina maana ni mwanzilishi wa miss tanzania awamu mpya au tangia ile ya miaka ya kweusi?

    kuup it up, lakini hakikisha kamati zako zinakuwa na nidhamu, mutangaze zawadi ambazo mpo teyari kuzitoa na mnazo teyari...dhibiti balehe miongoni mwa wanakamati wako...na hizi mambo ya umisheni tauni achaneni nazo...enzi hizi za utandawazi misheni utapiga sana sana mbili baada ya hapo utaanza kuulaumu utandawazi na wazungu bure!!

    ReplyDelete
  2. anafaa kuwa Mr Tanzania, ni mzuri kweli.Inasemekana ili upate umiss lazima mkutane kwa faraghaaaaaa.

    ReplyDelete
  3. huyu ndo Hugh Hafner(Play Boy) wa tanzania kabla hajashika nyonyo basi hupandi kwenye jukwaa labda kama ni mpwawe lakini kama ni kijukuu basi lazima ucheze naye babu

    ReplyDelete
  4. Wewe Kijana tumia lugha nzuri hii website inatumia na watu wazima na wenye Heshima zao. Jifunze nidhamu eneo hili sio la wauni peke yao.

    ReplyDelete
  5. Usitake ncheke haya ni maoni yangu na nina haki za demokrasia simtusi huyu baba na sina ubaya naye lakini ukweli uwekwe bayana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...