mtalii wa kijapani akipata maelekezo ya njia toka kwa raia na askari. watu wa zenj ni mashuhuri kwa ukarimu na lugha laini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. askari katoa jicho huyo, duh!

    ReplyDelete
  2. Yaani huyo Polisi anaonekana mzembe kabisaa, nadhani hawezi hata kufukuza mwizi, Sembuse jambazi mwenye Gun. Mhmm!! Jamaa inaonekana anawaza deal (ushwa) tuu Mhmm!! tutafika kwelii? Hivi maaskari wote wako hivyoo? au ni kama asilimia ngapi? Inabidi waingizwe Gym haoo.

    ReplyDelete
  3. sijui wanazungumza lugha gani maana afande anaonekana kutatizwa na mawasiliano na huyo nyapu wa kichina isiwe tuu anatafuta msokoto maana watalii wote sio wema na mpambe hapo pembeni kakaa kishambenga

    ReplyDelete
  4. Huyo mzee amekaa kidereva taxi kabisaaaaa...

    ReplyDelete
  5. Hiyo kali,
    Naamini kabisa huyo mvimba macho alikimbilia kwa askari ili apate msaada, akakuta njemba ni Maimuna. Sasa ha washikaji si wanaweza kumpoteza njia na kumwelekeza kunako vibaka wakalamba mali zake?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...