masela wa kijiweni zenj wakisarandia mapeni toka kwa watalii wakinadi huduma mbalimbali, ikiwa ni pamoja na usindikizaji na hata mapenzi




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Naam,

    Vijana hawa maarufu kwa jina la PAPASI au BICHI BOIZI. Huwa wanapata riziki yao kwa kuwatafutia wenye mahoteli na nyumba za wageni, au wenye mataksi, minibasi, au maboti wateja. Wakati mwingine huwa wanapata riziki yao kwa kuwa kama tour guides na walinzi. Pia kwa kuwatafutia mambo mbali mbali wageni kama vile mambo fulani ya kirasta na hata wapenzi.

    PAPASI au BICHI BOIZI wamechenjisha maisha yao au kupata tiketi za kwenda ughaibuni kwa kutengeneza urafiki na wageni. Wengi wa vijana hawa ambao nimepata kukutana na kuongea nao huwa ni mashapu sana.

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...