taa hazifanyi kazi, magari kibao, honi mtindo mmoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi,

    Hii gari yako imekatiwa bima ngapi? Maana naona umebandika vikaratasi kibao hapo!

    ReplyDelete
  2. juu ni lebo ya toka japani, ya pili ni kodi ya barabara (sh 10,000/- za madafu), ya tatu bima (sh. 290,000/- za madafu, komrehensivu, ya tatu ni usajili wa gari, ya nne ni ya usalama barabarani unayopewa baada ya gari lako kukaguliwa. mie, nadhani na wengine wengi tu, nilinunua kishkaji. na hapo hii ni gari si ya biashar, ingebidi niongeze zingine tatu - ya leseni ya biashara, vat na jiji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...