Home
Unlabelled
kibo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kilaleee meku hii ni mawensi,,!
ReplyDeletehuuu nasikia harufu ya mtori mbeee ,usinkumbushee! ni mimi macha hapa.
Hiyo mawenzi kaka jiografia ndogo tu inakushinda? tena nchini kwako je utasemaje wakenya wanaosema kilimanjaro iko kwao?
ReplyDeleteUnaona Kibo kina mapengomapengo ambayo yalitokana na kupigwa na mwiko na Mawenzi baada ya tabia yake ya kwenda kuomba chakula kwa Mawenzi kila kukicha kwa madai ya kutokuwa na moto wa kupikia.
ReplyDeleteMnaijua hadithi hii?
umenikumbusha hadith ya zamani sana bwana ndesanjo. jamjauah
ReplyDeleteNow you are Talking: Wachaga utawajua kwa hadithi zetu ndiokama hizo za hao madada wawili;Kibo na mdogo dadake Mawenzi,wachache ndio wanaojua hadithi kama hizo, hasa wale wenye kupenda kujua mambo ya nyumbani kwao.Kama ulishapata kukaa na babu yako au bibi yako wa kichaga akakuhadithia kisa hicho na hadithi nyingine nyingi za Kichaga.
ReplyDeleteSwali;wangapi mmeshaupanda mlima huo? Mimi narudia kwa mara ya pili kwa sababu ya kwanza sikufika kileleni.nitakwenda hivi karibuni na rafiki zangu walioomba kujiunga na mimi kutoka huku nji za magharibi.
ahsanteni
Kaka nafikiri uwe unaprove vitu kabla ya kurusha blogini hicho ni kilele cha Mawenzi na si Kibo lofa wewe.
ReplyDelete