mwamkumbuka huyu aliye na jk?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyu ni Alnoor Kassam waziri wa zamani wa Nisharti na Madini pia ni mbunge wa kwanza wa Dodoma ki umri ni makamo ya Mwalimu JKN, Mambo sio mabaya naona maana akina rashidi Bin Mfaume na Hata Ally bin Hassan wote ni wadogo kwa mzee kassam natumai nimetoa maelezo ya kutosha

    ReplyDelete
  2. very good umepatia, ila naona kaa JK anamwangalia kwa dharau vile? au kwa kuwa mdosi?

    ReplyDelete
  3. Al Noor Kasum, Mkuu wangu wa chuo kikuu - SUA. nasikia bado ni bosi wa SUA. kanitunukia digrii mbili pale SUA.mark

    ReplyDelete
  4. mbona maraisi wa ughaibuni hawana ili police la kijani, linalosimama nyuma ya raisi wetu?

    ReplyDelete
  5. Bwana Anonymous Marais wa ughaibuni Wanao Police (walinzi)wanao vaa Suti na Wengine wakijifanya Raia wanao washangilia hili kuwa karibu na Raia kujua kana kwamba kuna ujuma inataka kutendeka.Askari (secret service) Wengine upelekwa wiki moja au mbili kabla ya Safari ya Rais au Kiongozi wa nchi kufanywa na wanakuwa karibu ya Rais au wanajifanya watazamaji.

    Kwa wale Viongozi wa mataifa makubwa wakiwa mahali fulani basi ktk anga husika kunakuwa ni No fly Zone yaani hailusiwi ndege yoyote kupita hapo kwa sababu za usalama na zikipita zaweza kushushwa chini (kulipuliwa) kama hazikufuata maelezo ya F14, F15, F16 au ndege zozote zile za kijeshi zitazokuwa zinalinda anga, Pia Kiongozi wa nchi uondolewa ktk eneo husika haraka sana na iwezekanavyo.

    Kama Kiongozi wa nchi akiwa nje ya nchi basi show zote za ulinzi zinachezwa na nchi husika (mwenyeji) na walinzi wa huyo Kiongozi wana play part ktk kiasi fulani tu.

    Ukiangalia kwa JMK huyo bwana mwenye hizo sale ni mmoja wa walinzi tu (Kama Msaidizi) wanao mlinda Rais na walinzi wengine lukuki (wengi sana) wapo ambao wanakuwa eneo husika eidha wamevaa suti za aina moja au tofauti, Tai za aina moja au Tofauti, Miwani za aina moja au Tofauti, Kuvaa Kitu chochote kile kitachowawezesha kujuana, na wengine wanakuwa kama watazamaji tu.

    Naona utakuwa umeona picha zaidi na usione hizo sale na kushangaa au kuzizarau bali ni mmoja wa walinzi wengi sana wanao mlinda Rais wa nchi.

    Nadhani sitokuwa nimewaudhi baadhi ya wasomaji wengine, Kama mtakuwa mmeudhika kwa yote nawaomba mniwie radhi.Ukweli utabaki ukweli.

    Nashukuru,
    ©2006 MK

    ReplyDelete
  6. Ane Chuzi, iko salama babaa.....Ketcha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...