shaggy na lucy divine mtangazaji wa clouds 88.4 fm wakifurahia jana dar. lucy anasifika kama mtangazaji mwenye sauti nzuri kuliko wote bongo, wakati shaggy anatamba kwa sauti nzito duniani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. lucy anameno semanini.

    ReplyDelete
  2. Aaah wapi!! Tisini

    ReplyDelete
  3. wamependeza

    ReplyDelete
  4. shagi ukigusa tu hapo utapata gono la bukoba.

    ReplyDelete
  5. si maungwana jamani maneno ya namna hii

    ReplyDelete
  6. Gono wapi hadi Ukimwi hupo hapo. Au haujui 88.4 ndio penyewe? Kita ngoma kwa sana na ni moja ya policy zao.

    ReplyDelete
  7. Hivi watz tunaelekea wapi jamani? mbona kila kitu hata kisicho na maana kinakosolewa huyu dada kapiga picha na shaggy tayari meno tisini gono ukimwi vinatoka wapi?
    wivu watanzania muache!!twende mbele

    ReplyDelete
  8. hata kama angekuwa na meno mia nampongeza kwasababu ni masafi sana,pili wametulia washikaji acheni wivu...

    ReplyDelete
  9. Wooow!!jamani namimi natamani ingekuwa mimi na shaggy,lucy si mchezo

    ReplyDelete
  10. lazima tukubali jamani hao wawili wametulia.

    ReplyDelete
  11. duh!embu cheki jinsi lucy alivyo kumbatiwa,si mchezo.

    ReplyDelete
  12. Very few get such opportunities,i should say lucy divine you lucky girl,hope you have some contacts cuz you guys look close.

    ReplyDelete
  13. Hey Luce, i think you look gorgeous. You and shaggy look so hot together. Keep up the good work.
    Luv u
    Cindy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...