hapa shaggy ananiamkia wakati wa hafla fupi ya kumkaribisha jana usiku hoteli ya movenpiki royopam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mzee Michuzi,

    Ahsante sana kwa picha safi sana.

    Tafadhali usichoke kutuhabarisha kwa picha.

    Mwenyezi Mungu akuzidishie.

    ReplyDelete
  2. naona michuzi unasema hawa yuu! ya kiswahili ile.

    ReplyDelete
  3. Hapana anony, hapa Michuzi kasema ile yenyewe ya Kimarekani. Angalia midomo ndo utajua katoa ya Kimanga. Angekuwa kasema hiyo ya Kiswahili midomo ingekuwa imerefuka kwa mbele kama anapuliza moto vile.

    ReplyDelete
  4. Teh teh teh teh!! Michuzi Anogile

    ReplyDelete
  5. e bwana ndiyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...