haya john mwaipopo na wenzio. yanga walioshinda 0-0 jana ndo hawa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Wanangu wenyewe hao mabingwa watetezi wa Vodacom.

    ReplyDelete
  2. Safi sana! Uwanja (playing field) unaonekana poa sana!

    Yanga team, msikate tamaa, wafungeni hao wa Msimbazi katika mechi zilizobaki!

    Go Yanga, Go!!!!

    ReplyDelete
  3. Hivi kule kwa nyuma ndiyo wanajenga uwanja mpya?

    ReplyDelete
  4. mbona lunyamila simuoni?

    ReplyDelete
  5. Hawa vijana inaonyesha lishe yao ni nzuri ukilinganisha na wale wekundu wa Msimbazi ... teh teh teh ...

    Ahsante sana Bw. Michuzi.

    ReplyDelete
  6. Hawa ndiyo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Ya Voda

    WALIOSIMAMA KUTOKA KUSHOTO; Yusuf Hamisi, Amri Kiemba, Ben Mwalala, John Barasa, Edwin Mukenya na Waziri Mahadhi
    WALIOPIGA GOTI KUTOKA KUSHOTO: Lulanga Mapunda, Saidi Maulidi SMG, Ivo mapunda, Ramadhan Wasso na Shadrack Nsajigwa.

    ReplyDelete
  7. Yanga kuota suluhu ni ushindi LOL!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...