si vibaya kujipongeza siku moja moja, au vipi jeff, hasa baada ya kupata dhahama neshno

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mkuu michuzi! naona hiyo Bar uliyokuwemo haikuwa na glasi ndogo!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2006

    HAPO KAKA MICHUZI IWE NDIO UMETOKA KAZINI,KAJOTO KIDOGO,HALAFU HIYO IWE KILIMANJARO YA BARIIIIIIIIIIIIIIDI!MZIKI USIWE MKUBWA SANA AU UWE UNAFUATILIA NEWS KWENYE TV.
    WE,CHESI HAPO HATA BAKULI POA TU!KWANI HIYO BIA INABAKI HUMO?

    ReplyDelete
  3. michuzi umeshau imani ya dini yako wewe shauri yako adhabu ya kaburi inakusubiri na mola wako pia, shauri yako menginewe si ya kuiga dunia ya kupita njia siku mmoja utamuona muumba wako ndo utajiju kama kujipongeza huko.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...