Home
Unlabelled
mapozeo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
shekh unapata mikojo ya firauni,mungu akubariki
ReplyDeleteKula povu mzee haina ubaya
ReplyDeletecoca cola hii jamani
ReplyDeletehii kitu ndio Mola anatumia kuwashia moto(petroli) huko motoni.acha mara moja.
ReplyDeletejamani ni coca cola mbona hamtaki
ReplyDeleteSio mbaya mkurugenzi...hamna aliyewahi kuona mbingu wala pepo.Wengi tuna mapokezi ya dini za watu tu!
ReplyDeleteJeff
mapepo hayo unakunjwa, angali umelewa tayari, leo utaenda mtongoza mkeo.
ReplyDeleteDuh! si utani bwana mkubwa.Hii Michuzi ujachanganya kweli?Bia gani hii?
ReplyDeleteHalafu ijumaa unakwenda msikitini?
ReplyDeleteAkifanyacho michuzi nadhani ni stahili yake kama wafanyavyo wengine ila labda atupe ufafanuzi ni kitu gani anachokitumia hapo.Ni kinywaji laini au????
ReplyDeletehii pombe ni taputapu, au jina lingine komoni baridi, lyatonga
ReplyDeleteMchanganyiko wa Malta Guiness na Coca Cola huo.
ReplyDeleteJohn Mwaipopo:
ReplyDeleteAfadhali umeondoa picha yako, mzee una sura la kutisha
hongera mwaipopo kwa kufanya jambo la hekima, watoto wangu walikuwa hawapendi tena blog kwa sababu ile sura ile.
ReplyDeleteWala sijatoa picha nimeamua kutoka hivyo leo. Picha iko pale pale kwa sababu sina nyingine. Watoto wako walie tu. Sibadilishi ng'o.Haitaki kutoka. Tena nataka niweke nyingine ziwa-ge mbili. Nyingine hiyo ni caricature.
ReplyDeleteahhahahahahahahhahahahahhahahahahhhaha kweli umedata
ReplyDeleteMichuzi kumbe na wewe ni mlevi? acha ulevi!!! hahahaha
ReplyDeletekaka huyo anapata raha
ReplyDeleteWabongo kwa u-holier than thou self righteous siwawezi, halafu hao hao wenyewe jioni wanavuta katoni mbili kwenye friji!
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteUnakunywa Guinness Stout nini? Naona unaifurahia kweli kweli! Nikija DSM utanipa offa lakini? Unakumbuka outings zetu za kutafuta News, huko tunamalizia na moja baridi..Wasalimie wote Daily News!